Enock Bella - Chukua Lyrics

Chukua new hit banger from C.E.O Debaasemusic Enock Bella 

Video Directed By: Dir EDDY From TANZANIA

Video:


Lyrics:

Kidawa kaja kwetu nimpe jogoo
Namwone huruma bado dogo
Hana uzito wakubeba gogo
Analeta ubishi yani Zogo
Anawatibua walio lala (lala)
Haka katoto kana masihara (hara)
Jogoo anakiu week hajala (hajala)
Anatania wanyoa viparaa

(Bridge)

Kidawa kani ng'ang'ania ngania
Hadi aende na kuku (hadi aende na kuku)
Anaonekana kapaniaa paniaa mbona kaja usiku

(CHORUS)

Chukua ukimuona
Chukua papasa hadi kwenye kona
Chukua ukimuona
Chukua Tazama yule aliye nona
Chukua ukimuona
Chukua inama hadi uvunguni
Chukua ukimuona
Chukua mpaka mabanda ya uwani

(Verse 2)

Kidawa hivi unajua kufuga
Au unataka tu kumvuruga
Nabibi yako kwakupenda mboga
Hatochelewa kumla na boga
Hodari wakuamsha morning (mapema)
Wakati bado yuko bandani (akihema)
Hajawahi kufumwa ugonii (akadema)
So mchunge wasije kumuibaa

(Bridge)

Kidawa kani ng'ang'ania ngania
Hadi aende na kuku (hadi aende na kuku)
Anaonekana kapaniaa paniaa mbona kaja usiku

(CHORUS)

Chukua ukimuona
Chukua papasa hadi kwenye kona
Chukua ukimuona
Chukua Tazama yule aliye nona
Chukua ukimuona
Chukua inama hadi uvunguni
Chukua ukimuona
Chukua mpaka mabanda ya uwani

(Outro)

Usije ukafanya vimbwanga (Ukaniletea utotoo ukaniletea)
Ukampea mganga
Mara kabebwa na kipanga
Wakati kafungwa kamba
Sitaki utani

(
CHORUS)
Chukua ukimuona
(Ukanilеa utotoo ukaniletea) (Ukanilea utotoo ukanilеtea )
(ukaniletea utoto ukaniletea )
Chukua papasa hadi kwenye kona
Chukua ukimuona
Chukua Tazama yule aliye nona
Chukua ukimuona
Chukua inama hadi uvunguni
Chukua ukimuona
Chukua mpaka mabanda ya uwani
CHUKUA

Post a Comment

0 Comments